Jinsi ya kupika ndizi mchemsho, on September 14, 2020 at 7:30 pm

September 14, 2020

Ndizi ni moja ya chakula kinachopendwa sana na watu wengi, lakini kwa hapa nchini chakula hiki huongoza kwa kuliwa zaidi na watu wa kabila la Wahaya kutoka mkoa wa Kagera, Bukoba. Sasa leo katika mapishi tutaandaa ndizi mchemsho twende sote…MAHITAJINyama roboNdizi mzuzu mbichi 5 au kulingana na ukubwa wa familia yakoVitunguu majiGiligiliani vijani kiasiVitunguu swaumuRosemary (vijani vichache)Bay (vijani kiasi)KarotiChumviOliver oil kijiko cha mezani kimojaBlack pepperChills endapo unapendaNamna ya kuandaaMenya ndizi zako na uzioshe vizuri kwa maji safi na salama.Katakata vitunguu maji, na karoti kwa mtindo uupendaoJinsi ya kupikaChemsha nyama na ikiashaiva vizuri weka chumvi kiasi, bay, rosemary, black paper vyote hivi utaweka wakati nyama ikiendelea kuchemka.Nyama ikishaiva vizuri weka vitunguu maji na vitunguu swaumu pamoja na nndizi kisha acha viive vyote kwa pamoja, lakini kabla ya kutoa weka karoti.Baada ya dakika 5 unaweza kutoa chakula motoni na kitakuwa ni tayari kimeiva na unaweza kula mchana au usiku pia.,

Ndizi ni moja ya chakula kinachopendwa sana na watu wengi, lakini kwa hapa nchini chakula hiki huongoza kwa kuliwa zaidi na watu wa kabila la Wahaya kutoka mkoa wa Kagera, Bukoba. Sasa leo katika mapishi tutaandaa ndizi mchemsho twende sote…

MAHITAJI

Nyama robo

Ndizi mzuzu mbichi 5 au kulingana na ukubwa wa familia yako

Vitunguu maji

Giligiliani vijani kiasi

Vitunguu swaumu

Rosemary (vijani vichache)

Bay (vijani kiasi)

Karoti

Chumvi

Oliver oil kijiko cha mezani kimoja

Black pepper

Chills endapo unapenda

Namna ya kuandaa

Menya ndizi zako na uzioshe vizuri kwa maji safi na salama.

Katakata vitunguu maji, na karoti kwa mtindo uupendao

Jinsi ya kupika

Chemsha nyama na ikiashaiva vizuri weka chumvi kiasi, bay, rosemary, black paper vyote hivi utaweka wakati nyama ikiendelea kuchemka.

Nyama ikishaiva vizuri weka vitunguu maji na vitunguu swaumu pamoja na nndizi kisha acha viive vyote kwa pamoja, lakini kabla ya kutoa weka karoti.

Baada ya dakika 5 unaweza kutoa chakula motoni na kitakuwa ni tayari kimeiva na unaweza kula mchana au usiku pia.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *