Jinsi mpango wa waasi wa Sudan unavyotoa njia ya kuokoa amani, on September 9, 2020 at 5:00 pm

September 9, 2020

Makubaliano ya amani ya Sudani hatimaye yalitiwa saini juma lililopita yaliyoahidi kumaliza vita vibaya mjini Darfur , Kordofan Kusini na Blue Nile ambavyo vimegharimu maisha ya mamia kwa maelfu ya watu, lakini wakati Alex de Waal na Edward Thomas wanaeleza hatua hii imekuja na malipo makubwa.Makubaliano haya yalifanyika kati ya serikali ya mpito na wa viongozi wa muungano wa waasi mjini Juba nchini Sudani Kusini.Nguvu yake itategemea nia njema ya pande zote mbili.Udhaifu wake ni kwamba Sudan inajaribu kuitekeleza demokrasia katikati ya msukosuko wa mizozo bila msaada wowote wa kimataifa.Mnamo Agosti 2019, viongozi wa jeshi na raia wa Sudan walikubaliana kushiriki pamoja katika serikali ya mpito, kutimiza mayakwa ya waandamanaji ambao walipindua utawala wa miaka 30 wa Rais Omar al-Bashir.Kipaumbele cha juu ilikuwa ni kumaliza vita ambavyo vimekumba nchi hiyo kwa muda mrefu.Waasi walikuwa wanaamini kuwa wale walio kwenye baraza la raia lililoongozwa na Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok ni wakweli.Hawakuwaamini majenerali, hasa Luteni Jenerali Mohamed Hamdan Dagolo, ajulikanaye kwa jina ”Hemeti” ambaye wanajeshi wake walifanya kampeni za kutisha za kupambana na waasi.Makubaliano yamefikiwa baada ya karibu mwaka mmoja wa mazungumzo ya amani.Nafasi iliyo nadraMwenyekiti wa baraza la kijeshi la serikali ya mpito, Luteni jenerali Abdel Fattah al-Burhan na naibu wake, Hemeti, wanahitaji kupata uhalali wa jumuiya ya kimataifa ambao kutoka kwenye makubaliano hayo.Kundi kikubwa zaidi, Chama cha Sudan Revolutionary, ni muungano dhaifu. Na ingawa inashiriki malengo mengi sawa na waandamanaji wasio na vurugu wa Khartoum, wanatoka asili tofauti sana.Waandamanaji wa mijini walivumilia miongo kadhaa ya ukandamizaji wa polisi.Viongozi wao wamechukuliwa kutoka kwa wasomi wa kitaalam na wanatarajiwa kurithi serikali, kama ilivyotokea kwa ”ghasia za Khartoum” zilizopita mnamo 1964 na 1985.,

Makubaliano ya amani ya Sudani hatimaye yalitiwa saini juma lililopita yaliyoahidi kumaliza vita vibaya mjini Darfur , Kordofan Kusini na Blue Nile ambavyo vimegharimu maisha ya mamia kwa maelfu ya watu, lakini wakati Alex de Waal na Edward Thomas wanaeleza hatua hii imekuja na malipo makubwa.

Makubaliano haya yalifanyika kati ya serikali ya mpito na wa viongozi wa muungano wa waasi mjini Juba nchini Sudani Kusini.

Nguvu yake itategemea nia njema ya pande zote mbili.

Udhaifu wake ni kwamba Sudan inajaribu kuitekeleza demokrasia katikati ya msukosuko wa mizozo bila msaada wowote wa kimataifa.

Mnamo Agosti 2019, viongozi wa jeshi na raia wa Sudan walikubaliana kushiriki pamoja katika serikali ya mpito, kutimiza mayakwa ya waandamanaji ambao walipindua utawala wa miaka 30 wa Rais Omar al-Bashir.

Kipaumbele cha juu ilikuwa ni kumaliza vita ambavyo vimekumba nchi hiyo kwa muda mrefu.

Waasi walikuwa wanaamini kuwa wale walio kwenye baraza la raia lililoongozwa na Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok ni wakweli.

Hawakuwaamini majenerali, hasa Luteni Jenerali Mohamed Hamdan Dagolo, ajulikanaye kwa jina ”Hemeti” ambaye wanajeshi wake walifanya kampeni za kutisha za kupambana na waasi.

Makubaliano yamefikiwa baada ya karibu mwaka mmoja wa mazungumzo ya amani.

Nafasi iliyo nadra
Mwenyekiti wa baraza la kijeshi la serikali ya mpito, Luteni jenerali Abdel Fattah al-Burhan na naibu wake, Hemeti, wanahitaji kupata uhalali wa jumuiya ya kimataifa ambao kutoka kwenye makubaliano hayo.

Kundi kikubwa zaidi, Chama cha Sudan Revolutionary, ni muungano dhaifu. Na ingawa inashiriki malengo mengi sawa na waandamanaji wasio na vurugu wa Khartoum, wanatoka asili tofauti sana.

Waandamanaji wa mijini walivumilia miongo kadhaa ya ukandamizaji wa polisi.

Viongozi wao wamechukuliwa kutoka kwa wasomi wa kitaalam na wanatarajiwa kurithi serikali, kama ilivyotokea kwa ”ghasia za Khartoum” zilizopita mnamo 1964 na 1985.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *