Jike Shupa ‘ “Mimi Nina Watoto Watano KILA Mtoto Ana Baba yake”, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

Video Vixen na mwanamitandao Jike Shupa amesema yeye ni mmoja wa wanawake wenye watoto wengi na kila mtoto ana baba yake, na sababu ya kupata watoto wengi ni kujaza dunia kama ilivyoelezwa.Jike Shupa amesema mpaka sasa ana watoto watano wote anakaa nao na nawalea mwenyewe ambapo watoto wakiume wapo wawili na wakike wapo watatu ambao wote baba ni tofauti.Akizungumzia hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Jike Shupa amesema “Mimi nina watoto watano sasa hivi na kila mtoto ana baba yake kwa sababu tumeletwa ili kujaza dunia hivyo tunatekeleza, watoto wa kiume wapo wawili na wakike watatu, nawalea na kuwahudumia mimi mwenyewe pia napata ushirikiano kutoka kwa baba zao”,

Video Vixen na mwanamitandao Jike Shupa amesema yeye ni mmoja wa wanawake wenye watoto wengi na kila mtoto ana baba yake, na sababu ya kupata watoto wengi ni kujaza dunia kama ilivyoelezwa.

Jike Shupa amesema mpaka sasa ana watoto watano wote anakaa nao na nawalea mwenyewe ambapo watoto wakiume wapo wawili na wakike wapo watatu ambao wote baba ni tofauti.

Akizungumzia hilo kupitia EATV & EA Radio Digital Jike Shupa amesema “Mimi nina watoto watano sasa hivi na kila mtoto ana baba yake kwa sababu tumeletwa ili kujaza dunia hivyo tunatekeleza, watoto wa kiume wapo wawili na wakike watatu, nawalea na kuwahudumia mimi mwenyewe pia napata ushirikiano kutoka kwa baba zao”,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *