Jeshi la Israel lawakamata wapalestina wanne karika operesheni, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 31, 2020 at 3:00 pm

August 31, 2020

Wapalestina wanne  wakamatwa na jeshi la Israel katika operesheni ilioendeshwa El Amud  Yerusalmu.Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa kuhusu wapalestina hao waliokamatwa, miongoni mwao ni wanawake watatu.Miongoni mwao wamefahamisha kuwa walipigwa baada ya kukamatwa.Kuhusu kupigwa kwa wapalestina hao , taarifa hiyo imetolewa na mashahidi walioshuhudia kitendo hicho.Baada ya uchunguzi , imeripotiwa kwamba wapalestina waliokamatwa walikuwa wakazi wa El Isewiyya mjini Yerusalemu.,

Wapalestina wanne  wakamatwa na jeshi la Israel katika operesheni ilioendeshwa El Amud  Yerusalmu.

Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa kuhusu wapalestina hao waliokamatwa, miongoni mwao ni wanawake watatu.

Miongoni mwao wamefahamisha kuwa walipigwa baada ya kukamatwa.

Kuhusu kupigwa kwa wapalestina hao , taarifa hiyo imetolewa na mashahidi walioshuhudia kitendo hicho.

Baada ya uchunguzi , imeripotiwa kwamba wapalestina waliokamatwa walikuwa wakazi wa El Isewiyya mjini Yerusalemu.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *