Je Wajua Rais wa Croatia Mwanamama Kolinda Kitarovic ni Komando?

September 7, 2020

Rais wa Croatia, Mwanamama Kolinda Grabar Kitarovic ni Mwanajeshi “Commando” mstaafu ambaye ndiye mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Majeshi ya kujihami kwa nchi za Magharibi (NATO) anayeshughulikia masuala ya diplomasia.,

Rais wa Croatia, Mwanamama Kolinda Grabar Kitarovic ni Mwanajeshi “Commando” mstaafu ambaye ndiye mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Majeshi ya kujihami kwa nchi za Magharibi (NATO) anayeshughulikia masuala ya diplomasia.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *