Je Ushawahi Kufahamu Kuwa Mende Ni Lishe Bora Kwako?

September 11, 2020

Je umewahi kufikiria kuwa mdudu mende anaweza kuwa mtaji wa kibiashara?Ingawa jamii inawachukulia mende kama wadudu wachafu, Rwehura Daniel ni kijana wa kitanzania, ameweza kutumia ubunifu wake na kuanza kufuga na kuwauza mende, ambao wataalamu wa lishe wanasema kwamba wadudu hao wana kiwango kikubwa cha protein ambayo ni muhimu kwa binadamu na wanyama.,

Je Ushawahi Kufahamu Kuwa Mende Ni Lishe Bora Kwako?

Je umewahi kufikiria kuwa mdudu mende anaweza kuwa mtaji wa kibiashara?
Ingawa jamii inawachukulia mende kama wadudu wachafu, Rwehura Daniel ni kijana wa kitanzania, ameweza kutumia ubunifu wake na kuanza kufuga na kuwauza mende, ambao wataalamu wa lishe wanasema kwamba wadudu hao wana kiwango kikubwa cha protein ambayo ni muhimu kwa binadamu na wanyama.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *