Je, shati la Lewis Hamilton lina ujumbe wa kisiasa?

September 15, 2020

Wakuu wa Formula 1 wanaangalia iwapo dereva machachari Muingereza Lewis Hamilton alivunja sheria za mchezo huo alipovaa tisheti yenye maandishi yaliyokua yakipinga uonevu wa polisi.. Tisheti ya Hamilton ilisomeka kuwa polisi aliyemuua Breonna Taylor akamatwe. Chama hicho kimesema hakijihusishi na masuala ya siasa kwa hivyo huenda Hamilton amekiuka kanuni za mchezo huo.

Source link

,Wakuu wa Formula 1 wanaangalia iwapo dereva machachari Muingereza Lewis Hamilton alivunja sheria za mchezo huo alipovaa tisheti yenye maandishi…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *