Jambo hili ni muhimu sana kwa wanandoa, on September 17, 2020 at 11:00 pm

September 17, 2020

 Kama penzi ni kujitoa sadaka “sacrificing” basi wote mnapaswa  mjitoe sadaka kikamilifu. Kama penzi ni kuwa tayari kumfia mwenzako basi wote muwe tayari kuyatoa maisha yenu kwa ajili ya mwingine.Kama penzi ni kuhudumiana basi muwe tayari kuhudumiana. Sio mmoja anajitesa kila siku kwa ajili ya mwingine ambaye hata haoni maana ya mwenzake kuteseka.Ni muhimu kwa namna moja ama nyingine kuhakikisha kila mmoja wenu anajitoa kikamailfu kwa mwenzake. Iwe ni kazi au malezi asiwepo  mtu yeyote mwenye kumuchia majukumu mtu mwingine, kwa kisingizio mwenzangu atafanya. Ni muhimu kila mmoja wenu aelewe vyema kwamba majumu yote ni ya kwenu kwa pamoja.Nyumba ambayo itajijengea misingi mizuri ya kushirikiana kwa pamoja ni kwamba mahusiano hayo yatakuwa ni mazuri daima na yenye kudumu milele. Usisahau, mapenzi yenye machungu na machozi mfululizo yana sumu na madhara makubwa kuliko kuwa SINGLE. Choose life. Choose happiness {Furaha}. Hivyo ni wajibu wenu kuanzia sasa kuishi maisha ambayo yatawasaidia sana kwa namna moja ama nyingine kufika mbali kwa kuhakikisha mnafanikiwa katika mambo myafanyayo.,

 

Kama penzi ni kujitoa sadaka “sacrificing” basi wote mnapaswa  mjitoe sadaka kikamilifu. Kama penzi ni kuwa tayari kumfia mwenzako basi wote muwe tayari kuyatoa maisha yenu kwa ajili ya mwingine.

Kama penzi ni kuhudumiana basi muwe tayari kuhudumiana. Sio mmoja anajitesa kila siku kwa ajili ya mwingine ambaye hata haoni maana ya mwenzake kuteseka.

Ni muhimu kwa namna moja ama nyingine kuhakikisha kila mmoja wenu anajitoa kikamailfu kwa mwenzake. Iwe ni kazi au malezi asiwepo  mtu yeyote mwenye kumuchia majukumu mtu mwingine, kwa kisingizio mwenzangu atafanya. Ni muhimu kila mmoja wenu aelewe vyema kwamba majumu yote ni ya kwenu kwa pamoja.

Nyumba ambayo itajijengea misingi mizuri ya kushirikiana kwa pamoja ni kwamba mahusiano hayo yatakuwa ni mazuri daima na yenye kudumu milele. Usisahau, mapenzi yenye machungu na machozi mfululizo yana sumu na madhara makubwa kuliko kuwa SINGLE. Choose life. Choose happiness {Furaha}. Hivyo ni wajibu wenu kuanzia sasa kuishi maisha ambayo yatawasaidia sana kwa namna moja ama nyingine kufika mbali kwa kuhakikisha mnafanikiwa katika mambo myafanyayo.
,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *