Iraq yasisitiza umuhimu wa mahusiano yake na Uturuki, on September 18, 2020 at 8:00 am

September 18, 2020

Qasim al-Araji,Katibu wa Usalama wa Kitaifa wa Iraq, amezungumzia umuhimu wa kuendeleza kwa uhusiano na Uturuki.Kulingana na taarifa ya maandishi iliyotolewa na Sekretarieti ndogo ya Usalama wa Kitaifa ya Iraq, Araji, amekutana na balozi wa Uturuki huko Baghdad,Fatih Yıldız.Araji, wakati wa mkutano ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulijadiliwa, alisema,”Serikali ya Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhimi, inasisitiza umuhimu wa kuendelea kwa uhusiano kati ya Iraq na Uturuki .”Balozi Yıldız amefahamisha kuwa Rais Recep Tayyip Erdoğan anatarajia kutembelea Iraq na kutoa mwaliko rasmi kwa Kadhimi kutembelea mji mkuu wa Ankara.Yıldız ametoa taarifa zifuatazo katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii:”Nilikutana na Katibu Mkuu wa Usalama wa Kitaifa wa Iraq, Kasım al-Araji, na kusisitiza umuhimu wa nchi yetu kuzingatia uhusiano wake na Iraq na nia yetu ya kushirikiana katika mapambano dhidi ya ugaidi.”,

Qasim al-Araji,Katibu wa Usalama wa Kitaifa wa Iraq, amezungumzia umuhimu wa kuendeleza kwa uhusiano na Uturuki.

Kulingana na taarifa ya maandishi iliyotolewa na Sekretarieti ndogo ya Usalama wa Kitaifa ya Iraq, Araji, amekutana na balozi wa Uturuki huko Baghdad,Fatih Yıldız.

Araji, wakati wa mkutano ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulijadiliwa, alisema,

“Serikali ya Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhimi, inasisitiza umuhimu wa kuendelea kwa uhusiano kati ya Iraq na Uturuki .”

Balozi Yıldız amefahamisha kuwa Rais Recep Tayyip Erdoğan anatarajia kutembelea Iraq na kutoa mwaliko rasmi kwa Kadhimi kutembelea mji mkuu wa Ankara.

Yıldız ametoa taarifa zifuatazo katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii:

“Nilikutana na Katibu Mkuu wa Usalama wa Kitaifa wa Iraq, Kasım al-Araji, na kusisitiza umuhimu wa nchi yetu kuzingatia uhusiano wake na Iraq na nia yetu ya kushirikiana katika mapambano dhidi ya ugaidi.”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *