Inasemekana hii ndiyo pisi inayompa kiburi Uchebe

October 4, 2020

Ni habari kutoka kwa aliyekuwa mume wa msanii na mfanyabiashara Shilole, bwana Uchebe baada ya kupost miguu ya mwanamke ambaye anadaiwa kuwa ndiyo mpenzi wake mpya kwa sasa.

Uchebe alipost picha hiyo katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ambapo post ya kwanza ameandika kuwa “Nimeku-miss beb, unarudi lini” 

Kisha akaendelea kwenye post ya pili kwa kuandika “Nakusubiri upo wapi”.

Sasa hizi hapa ni baadhi ya ‘comments’ za wanazengo wa Jamhuri ya watu wa mtandao wa Instagram wakimjibu Uchebe baada ya kumpost mwanamke huyo.

“Yaani hii ni ishara kabisa unateseka na shilole, hivi mpenzi wako tuseme huna namba yake mpaka unakuja kumulizia IG eti unarudi lini kha, unachekesha hebu jikaze wewe unatia aibu” Juddis 5

“Kabisa kama ulikuwa unamfundisha Shishi kuwa mke bora katika maadili mema yanayositirika na yanayompendeza Mungu huwezi kufanya hayo, labda account yako imedukuliwa lakinin kwa Uchebe yule anayetambua dini na mwenye hofu ya Mungu hawezi fanya haya, kikubwa ‘focus’ na kazi zako kama wewe Uchebe achana na visasi kaka, kesho ni kubwa kuliko leo” Mjasiriamali 

“Achana na kiki za kushindana na Shilole, ishi maisha yako piga kazi, usipoangalia utapoteza hata wateja kwa hizi mambo bro” Hurrem Sultan 

“Huna lolote shda yako umuumize Shishi” Agness Chocolate 

“Aisee ndiyo ostaz huyu, kumbe Shilole aliongea ukweli huna cha ustazi wowote wewe” Phina Mango 

“Uchebe kachomoa betri mpigieni simu Baba Keagan” Coxda wayao

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *