IGP Simon Sirro aagiza Afisa Elimu na Wakaguzi wote kukamatwa, on September 15, 2020 at 10:00 am

September 15, 2020

IGP Simon Sirro amewasili Wilayani Kyerwa, Kagera kwenye eneo la Bweni lililoungua na kuua Wanafunzi kumi, ambapo ameagiza kukamatwa kwa Afisa Elimu na Wakaguzi wote waliokuwa wanaenda kukagua Shule hiyo ya Byamungu Islamic baada ya kubaini kuwa Bweni hilo lililojengwa kwa matofali ya kuchoma halikuwa imara.”Bado chanzo hatujakifahamu ila kwa haraka tumebaini jengo halikuwa na uimara madhubuti, tumemkamata mwenye Shule, Matron, ila pia nimeagiza Afisa Elimu na Wakaguzi watafutwe, lakini bado tunatafuta vyanzo vingine inaweza kuwa kuna Mhalifu mwingine ametumia hiyo fursa”-SIRRO,

IGP Simon Sirro amewasili Wilayani Kyerwa, Kagera kwenye eneo la Bweni lililoungua na kuua Wanafunzi kumi, ambapo ameagiza kukamatwa kwa Afisa Elimu na Wakaguzi wote waliokuwa wanaenda kukagua Shule hiyo ya Byamungu Islamic baada ya kubaini kuwa Bweni hilo lililojengwa kwa matofali ya kuchoma halikuwa imara.

“Bado chanzo hatujakifahamu ila kwa haraka tumebaini jengo halikuwa na uimara madhubuti, tumemkamata mwenye Shule, Matron, ila pia nimeagiza Afisa Elimu na Wakaguzi watafutwe, lakini bado tunatafuta vyanzo vingine inaweza kuwa kuna Mhalifu mwingine ametumia hiyo fursa”-SIRRO

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *