IFAHAMU Kazi ya Ganda la Chungwa Kwenye Mwili Wako..!!!

October 7, 2020
Baadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa na weusi sehemu za makwapa, hali ambayo huwakwaza hasa zaidia kinadada na kujikuta wakishindwa kuvaa baadhi ya mavazi hasa yale yenye mikono mifupi kwa kuhofia hali hiyo.
Leo nimekuletea hii mbinu ya kutumia ganda la chungwa kumaliza weusi wa sehemu za kwapani.
Unachotakiwa kufanya ni kukamua maji ya ganda la chungwa (yale ambayo yakiingia machoni huuma) weka maji hayo kwenye kikombe kisha changanya na asali kijiko kimoja kidogo kisha paka mchanganyiko huo sehemu iliyoathirika. Fanya zoezi hili kwa wiki mbili ili kupata matokeo mazuri.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *