Idadi ya watu walokufa baada ya kuporomoka kwa jengo nchini China yafikia 29, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 30, 2020

 Serikali ya China imesema idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la mgahawa la ghorofa mbili huko katika jimbo la kaskazini la Shanxi imeongezeka na kufikia Watu 29, Watu wengine 28 wamejeruhiwa, wakiwemo 7 ambao wapo katika hali mbaya zaidi. ,

 Serikali ya China imesema idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la mgahawa la ghorofa mbili huko katika jimbo la kaskazini la Shanxi imeongezeka na kufikia Watu 29, Watu wengine 28 wamejeruhiwa, wakiwemo 7 ambao wapo katika hali mbaya zaidi. 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *