Idadi ya watu ambao wamekwsihambukiwa virusi vya corona imefikia wattu milion i 25,6 kote ulimwenguni, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 2, 2020 at 8:00 am

September 2, 2020

Idadi ya watua mbao pia wamekwishfariki kwa maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni idadi yake yazidi kuongezeka na kuripotiwa kufikia watu   861 280.Watu ambao wameripotiwa kupona maambukizi ya virusi hivyo baada ya kupatiwa matibabu , idadi yake imefikia watu   milioni 18.2.Nchini India , ndani ya masaa 24 ni watu  1045 ndio ambao wamerpotiwa kufariki .Idadi ya watu ambao wamekwishariki imefikia watu   66 333 huku visa vya maambukizi vikiripotiwa kuongezeka na kufikia watu 78 357.Barani Afrika,  watu  30 104 ndioa wamekwishafariki  huku watua mabo wamegunduliwa kuwa na maambukizi idadi yake imeripotiwa kufikia watu   milioni 1,2.Barani Afrika ,  nchi ilioathirika kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya virusi vya corona ni Afrika Kusini , taifa ambalo  watu  14 263 wamekwishafariki kutokana na maamnbukizi ya virusi vya corona.Nchini Misri ni watu   5421 wamefariki, nchini Algeria , watu  1518.,

Idadi ya watua mbao pia wamekwishfariki kwa maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni idadi yake yazidi kuongezeka na kuripotiwa kufikia watu   861 280.

Watu ambao wameripotiwa kupona maambukizi ya virusi hivyo baada ya kupatiwa matibabu , idadi yake imefikia watu   milioni 18.2.

Nchini India , ndani ya masaa 24 ni watu  1045 ndio ambao wamerpotiwa kufariki .

Idadi ya watu ambao wamekwishariki imefikia watu   66 333 huku visa vya maambukizi vikiripotiwa kuongezeka na kufikia watu 78 357.

Barani Afrika,  watu  30 104 ndioa wamekwishafariki  huku watua mabo wamegunduliwa kuwa na maambukizi idadi yake imeripotiwa kufikia watu   milioni 1,2.

Barani Afrika ,  nchi ilioathirika kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya virusi vya corona ni Afrika Kusini , taifa ambalo  watu  14 263 wamekwishafariki kutokana na maamnbukizi ya virusi vya corona.

Nchini Misri ni watu   5421 wamefariki, nchini Algeria , watu  1518.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *