Huyu Hapa Mama Mzazi wa NICK Minaj…Ampongeza Mwanaye Kupata Mtoto

October 5, 2020

 

Mama mzazi wa Nicki Minaj amempongeza binti yake kwa kubarikiwa kupata mtoto. Kupitia ukurasa wa instagram, Carol Maraj ameandika ujumbe mrefu wa pongezi kwa Nicki Minaj na kumwambia, mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Rapa Nicki Minaj aliripotiwa kupata mtoto Jumatano ya wiki iliyopita.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *