Hospitali iliyojitolea kumtibu mgonjwa wa ngiri maji imefanikisha upasuaji

September 15, 2020

Ngiri maji lenye uzani wa kilo 20 iliyovunja ndoto ya mkulima Matayo Kudenya nchini Tanzania, sasa limeondolewa.

Daktari Gustavos Deusdedit , Mkurugenzi wa hospitali ya Decca jijini Dodoma ameiambia BBC kuwa hali ya mgonjwa ni nzuri hivi sasa.

Kudenya ambaye awali alikuwa akijishughulisha na ukulima, kwa miaka kadhaa, shughuli zake zote zilisimama kutokana na tatizo la ngiri maji au busha ambayo imekuwa mwilini mwake na kufikia uzito wa takribani kilo ishirini.

Source link

,Ngiri maji lenye uzani wa kilo 20 iliyovunja ndoto ya mkulima Matayo Kudenya nchini Tanzania, sasa limeondolewa. Daktari Gustavos Deusdedit…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *