Hofu ya Brexit ya bila makubaliano ya kibiashara yaongezeka, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on September 4, 2020 at 6:00 pm

September 4, 2020

Wanadiplomasia na maafisa wanaohusika katika majadiliano ya Uingereza kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya – Brexit wanasema uwezekano wa Uingereza kujiondoa kutoka kwenye umoja huo bila makubaliano ya kibiashara umeongezeka pakubwa.Maafisa hao wanasema majadiliano yanakwamishwa na msisitozo wa Uingereza kwamba iwe na udhibiti kamili wa misaada yake.Kuna hofu Ulaya nzima kwamba kuondoka kwa Uingereza bila makubaliano ya kibiashara huenda kukazidisha mzozo wa kiuchumi wakati ambapo janga la virusi vya corona limeziathiri pakubwa chumi za Ulaya.Uingereza iliondoka Umoja wa Ulaya Januari 31 baada ya kuwa mwanachama wa umoja huo kwa miaka 47.,

Wanadiplomasia na maafisa wanaohusika katika majadiliano ya Uingereza kujiondoa kutoka kwenye Umoja wa Ulaya – Brexit wanasema uwezekano wa Uingereza kujiondoa kutoka kwenye umoja huo bila makubaliano ya kibiashara umeongezeka pakubwa.

Maafisa hao wanasema majadiliano yanakwamishwa na msisitozo wa Uingereza kwamba iwe na udhibiti kamili wa misaada yake.

Kuna hofu Ulaya nzima kwamba kuondoka kwa Uingereza bila makubaliano ya kibiashara huenda kukazidisha mzozo wa kiuchumi wakati ambapo janga la virusi vya corona limeziathiri pakubwa chumi za Ulaya.

Uingereza iliondoka Umoja wa Ulaya Januari 31 baada ya kuwa mwanachama wa umoja huo kwa miaka 47.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *