Hii Hapa List ya Wasanii Kumi wa Bongo Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Septemba

October 12, 2020

Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter Wa SWAHILI TIMES Wametoa List Ya Baadhi Ya Wasanii Kumi Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Septemba 2020

10. Juma Jux 1.6M

9. Nandy 2.3M

8. Aslay 2.9M

7. Lava Lava 4.2M

6. Ali Kiba 5.7M

5. Mbosso 7.6M

4. Harmonize 13.4M

3. RayVanny 15.6M

2. Zuchu 19.5M

1. Diamond Platnumz 27.2M

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *