Harmonize hawezi kunilipa, hawezi gharama- Bwana, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 2, 2020 at 6:00 am

September 2, 2020

Mkongwe wa muziki wa BongoFleva Bwana Misosi amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi zao bila hata ya kuwadai pesa kwa sababu hawana uwezo wa kumlipa. Bwana Misosi amesema beat la wimbo wake wa nitoke vipi limetumiwa na Man X, pia beat lake la mabinti wa kitanga ametumia Harmonize kwenye wimbo wake wa ‘never give up’.”Kuna wasanii wametumia mgongo wangu kwenye kazi zao kama Man X ametumia beat la wimbo wangu wa nitoke vipi, pia wimbo wa ‘Never Give Up’ ya Harmonize ni beat langu kwenye wimbo wa mabinti wa kitanga, Harmonize alitaka kunilipa nikamwambia gharama zake hataziweza” amesema Bwana Misosi Bwana Misosi amesema nyimbo zake za nitoke vipi na mabinti wa kitanga zilimpa mafanikio makubwa na kumfanya kufahamika ndani na nje ya Tanzania. ,

Mkongwe wa muziki wa BongoFleva Bwana Misosi amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi zao bila hata ya kuwadai pesa kwa sababu hawana uwezo wa kumlipa.

 Bwana Misosi amesema beat la wimbo wake wa nitoke vipi limetumiwa na Man X, pia beat lake la mabinti wa kitanga ametumia Harmonize kwenye wimbo wake wa ‘never give up’.

“Kuna wasanii wametumia mgongo wangu kwenye kazi zao kama Man X ametumia beat la wimbo wangu wa nitoke vipi, pia wimbo wa ‘Never Give Up’ ya Harmonize ni beat langu kwenye wimbo wa mabinti wa kitanga, Harmonize alitaka kunilipa nikamwambia gharama zake hataziweza” amesema Bwana Misosi 

Bwana Misosi amesema nyimbo zake za nitoke vipi na mabinti wa kitanga zilimpa mafanikio makubwa na kumfanya kufahamika ndani na nje ya Tanzania.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *