Harmo Awaacha Njia Panda Mashabiki Zake

October 11, 2020

HIVI karibuni msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdul ‘Harmonize’ aliwaacha njia panda mashabiki zake baada ya kuposti picha ya mwanaume mmoja akiwa na watoto wawili kwenye akaunti yake ya Insta stori na kuandika ‘Thank you God’ akiwa na maana ya asante Mungu, jambo lililofanya watu waanze kujadili kuwa huenda mke wake Sarah ameshajifungua.

“Mmmh! Jamani ndiyo kusema Sarah kajifungua nini?” alihoji shabiki mmoja bila kupata majibu.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *