Haji Manara Ampiga Dongo Kali Harmonize “Ogopeni Misifa ya Ovyo”, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 31, 2020

Ameandika Haji Manara””Ndugu zangu ogopeni misifa ya hovyo hovyo, mtakuja kufa bila sababu!!!Hofu yangu haikuwa kudondoka kama kiroba,..kilichoniogopesha ni hiyo kudunda dunda kama kitenesi,Caption na hyo video wala havihusiani,nimeajiandikia tu Kujitia uanajeshi wakati hata Mgambo hawakujui,kuna siku tutaokota Maiti uwanjani” Haji Manara,

Ameandika Haji Manara”

“Ndugu zangu ogopeni misifa ya hovyo hovyo, mtakuja kufa bila sababu!!!

Hofu yangu haikuwa kudondoka kama kiroba,..kilichoniogopesha ni hiyo kudunda dunda kama kitenesi,

Caption na hyo video wala havihusiani,nimeajiandikia tu 

Kujitia uanajeshi wakati hata Mgambo hawakujui,kuna siku tutaokota Maiti uwanjani” Haji Manara

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *