“Haiwezekani Maria Nyerere Akitaka Kwenda DSM Apandie Ndege Mwanza”-JPM, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 5, 2020

“Mzee Nyerere amezaliwa hapa, akatuleta pamoja Watu wa Dini na rangi zote ni lazima tumuenzi, katika utawala wangu Mungu akijalia yote aliyopanga Baba wa Taifa kuyatimiza, nitayatimiza kwa speed kubwa na pia kuendelea kuuenzi Mkoa huu aliotoka”-JPM akiwa Mara“Nimetangaza tenda kumpata Mkandarasi, pesa zipo zaidi ya Tsh. Bil 49 kwa ajili ya kujenga Uwanja wa Ndege hapa tena wa lami, ili Ndege ziwe zinatua, haiwezekani Mama Maria Nyerere akitaka kwenda DSM awe anasafirishwa hadi Mwanza kupanda Ndege ”-JPM “Tumekamilisha hospitali ya kumbukumbu ya Mwl.nyerere, imeanza kazi Aug 31, nimeambiwa mpaka sasa wamezaliwa Watoto 31 na mmoja anaitwa Julius kwa heshima ya Nyerere,tulitoa zaidi ya Tsh.Bil 15, hivi karibuni hospitali hii itaanza kusafisha figo”-JPM   ,

“Mzee Nyerere amezaliwa hapa, akatuleta pamoja Watu wa Dini na rangi zote ni lazima tumuenzi, katika utawala wangu Mungu akijalia yote aliyopanga Baba wa Taifa kuyatimiza, nitayatimiza kwa speed kubwa na pia kuendelea kuuenzi Mkoa huu aliotoka”-JPM akiwa Mara

“Nimetangaza tenda kumpata Mkandarasi, pesa zipo zaidi ya Tsh. Bil 49 kwa ajili ya kujenga Uwanja wa Ndege hapa tena wa lami, ili Ndege ziwe zinatua, haiwezekani Mama Maria Nyerere akitaka kwenda DSM awe anasafirishwa hadi Mwanza kupanda Ndege ”-JPM 

“Tumekamilisha hospitali ya kumbukumbu ya Mwl.nyerere, imeanza kazi Aug 31, nimeambiwa mpaka sasa wamezaliwa Watoto 31 na mmoja anaitwa Julius kwa heshima ya Nyerere,tulitoa zaidi ya Tsh.Bil 15, hivi karibuni hospitali hii itaanza kusafisha figo”-JPM   

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *