Habari Picha: Timu ya KMC FC wakifanya mazoezi katika uwanja wa Uhuru leo,

October 1, 2020

 

Golikipa wa Timu ya KMC FC, Rahim Sheih pamoja na makipa wenzake wakifanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao  dhidi ya Polisi Tanzania ,mchezo huo utakaopigwa Oktoba tano katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mchezaji wa  timu ya KMC FC , Adrew Vicent, Dante akifanya mazoezi na wachezaji wenzake leo katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.

Golikipa na Nahodha wa Timu ya KMC FC Juma Kaseja , Sudi Dondola akiwa na wachezaji wenzake wakifanya mazoezi leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mchezaji wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC , Hassan Kabunda akifanya mazoezi na wenzake leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *