Gwajima ‘Sisi Sio Waganga NJAA Kawe, Tumeshajaza Makapu Yetu Tunataka Tutoe Kilichondani ya Makapu Kwa Wananchi’

September 14, 2020

“Sisi kwenye Ubunge hatukuja kuganga njaa, tumekuja kuwatumikia Wananchi, tulishajaza makapu yetu tunataka tutoe kilichondani ya makapu pamoja na cha CCM tuwape Wananchi ili wawe na maisha mapya, tuone furaha tena Kawe” – Ameyasema Hayo Askofu Gwajima kwenye uzinduzi Kampeni leo,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *