Gwajima “Mimi si Kilaza, Nilienda Marekani Mwaka Jana, Nimeandika Vitabu 5 Kwa Kijapani

September 13, 2020

Akiwa kwenye kampeni, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam Askofu Josephat Gwajima amesema Mwaka jana alitembelea Marekani na watu wasifikiri kwamba yeye ni kilaza kwasababu anaongea Kijapani ameandika vitabau 5 vya Kijapani na vinauzwa AmazonAmesema kuwa “Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa Hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali”Ameongeza kuwa, “Nataka kufuta ile dhana ya kuwaza tunapata Askofu Mbunge, unapata chombo au mashine ya kusaga na kukoboa. Nawatumia salamu wanaomtukana Dkt. Magufuli”.,

Akiwa kwenye kampeni, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe, Dar es Salaam Askofu Josephat Gwajima amesema Mwaka jana alitembelea Marekani na watu wasifikiri kwamba yeye ni kilaza kwasababu anaongea Kijapani ameandika vitabau 5 vya Kijapani na vinauzwa Amazon

Amesema kuwa “Nikichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe nitaweka Ambulance kwenye kila Kata, watu wangu watakimbizwa Hospitalini kwa haraka na jambo hili ni jepesi halihitaji Manispaa wala halihitaji Serikali”

Ameongeza kuwa, “Nataka kufuta ile dhana ya kuwaza tunapata Askofu Mbunge, unapata chombo au mashine ya kusaga na kukoboa. Nawatumia salamu wanaomtukana Dkt. Magufuli”.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *