Gereza la Metropolitan latoa taarifa kuhusu kushambuliwa kwa R Kelly, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 3, 2020 at 1:00 pm

September 3, 2020

 Mapema wiki iliyopita Gereza la Metropolitan lililopo mjini Chicago lilitoa taarifa kumuhusu mwimbaji wa RnB, Robert Kelly maarufu R Kelly ni kwamba alivamiwa na kushambuliwa vibaya na mfungwa mwenzake akiwa gerezani humo.Sasa ripotimpya kumuhusu Mwimbaji huyo ni kuwa, mfungwa mwenzake na #Kellz alikutwa akimkanyaga kichwani Kellz na baada ya hapo kutaka kumchoma na kalamu lakini walifanikiwa kumzuia. Umeandika mtandao wa Page Six.Ikumbukwe, Kellz anashikiliwa Gerezani hapo wakati akisubiri kesi yake ya unyanyasaji wa kingono.,

 Mapema wiki iliyopita Gereza la Metropolitan lililopo mjini Chicago lilitoa taarifa kumuhusu mwimbaji wa RnB, Robert Kelly maarufu R Kelly ni kwamba alivamiwa na kushambuliwa vibaya na mfungwa mwenzake akiwa gerezani humo.

Sasa ripotimpya kumuhusu Mwimbaji huyo ni kuwa, mfungwa mwenzake na #Kellz alikutwa akimkanyaga kichwani Kellz na baada ya hapo kutaka kumchoma na kalamu lakini walifanikiwa kumzuia. Umeandika mtandao wa Page Six.

Ikumbukwe, Kellz anashikiliwa Gerezani hapo wakati akisubiri kesi yake ya unyanyasaji wa kingono.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *