Familia yafidiwa baada ya mtoto kuharibiwa ubongo

September 18, 2020

Familia ya mtoto wa kiume aliyepata uharibifu mkubwa wa ubongo baada ya hospitali ya Cork alikozaliwa kushindwa kugundua ugonjwa wa meningitis imepata afueni baada ya mahakama kuamuru walipwe pauni milioni 20.6m huko uingereza. Hospitali hiyo imeomba msamaha kwa Calum English, ambaye sasa ana miaka minane nane pamoja na wazazi wake.nini maoni yako kuhusu taarifa hii?

Source link

,Familia ya mtoto wa kiume aliyepata uharibifu mkubwa wa ubongo baada ya hospitali ya Cork alikozaliwa kushindwa kugundua ugonjwa wa…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *