Fahamu mafanikio ya hifadhi ya mto Mara

September 15, 2020

Huwezi kusikiliza tena

Dakika 1 iliyopita

Sherehe za siku ya kuhifadhi mto Mara ambazo hufanyika kila mwaka na sasa ikiwa ni mara ya tisa,tangu kuanza kusherehekea siku hii, leo zinafanyika katika kaunti za Narok na Bomet nchini Kenya.

Ujumbe mkuu wa mwaka huu ikiwa ”uhifadhi wa ikolojia ya Mara- mafanikio yetu ya pamoja”.

Mto mara ndicho kivukio cha wanyama aina ya nyumbu kati ya taifa la Kenya na Tanzania na ndiyo sababu kuu ya sherehe hizi kufanyika katika mataifa haya mawili.

Sherehe za mwaka jana zilifanyika Tanzania.

David Ole Sankok ambaye mbunge mteule na mkazi wa Narok, ameeleza umuhimu wa kusherehekea Mara Day alipozungumza na mwandishi wa BBC Leonard Mubali.

Source link

,Huwezi kusikiliza tena Fahamu mafanikio ya hifadhi ya mto Mara Dakika 1 iliyopita Sherehe za siku ya kuhifadhi mto Mara…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *