EU yasema inasimama pamoja na ICC baada ya Markeani kumuwekea vikwazo mwendesha mashtaka mkuu, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on September 3, 2020 at 5:00 pm

September 3, 2020

Umoja wa Ulaya umesema utaitetea mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, dhidi ya majaribio ya Marekani kuidhoofisha.Hayo yameelezwa na msemaji wa umoja huo, baada ya serikali mjini Washington kumuwekea vikwazo mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague, Uholanzi.Msemaji wa masuala ya nje wa Umoja wa Ulaya Peter Stano, amewaambia waandishi habari mjini Brussels, kwamba wanasimama pamoja na ICC na hawafurahishwi na hatua zinazokwenda kinyume na shughuli za mahakama hiyo.,

Umoja wa Ulaya umesema utaitetea mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, dhidi ya majaribio ya Marekani kuidhoofisha.

Hayo yameelezwa na msemaji wa umoja huo, baada ya serikali mjini Washington kumuwekea vikwazo mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague, Uholanzi.

Msemaji wa masuala ya nje wa Umoja wa Ulaya Peter Stano, amewaambia waandishi habari mjini Brussels, kwamba wanasimama pamoja na ICC na hawafurahishwi na hatua zinazokwenda kinyume na shughuli za mahakama hiyo.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *