Esma: Wanaoniita Yuda Ipo Siku Wataniita Petro

September 6, 2020

Esma Khan, ambaye ni Dada wa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, NasibAbdul ‘Diamond’ amesema kuwa, waliompachika jina la Yuda, sasa wanakaribia kumpa jina la Petro.Akizungumza na AMANI, Esma alisema jina la Yuda hakulipenda, lakini watu wa kwenye mitandao walimpa na anaamini bado siku chache watambadilisha jina hilo.“Unajua mtu akikupa jina unapokea tu vizuri, alafu wao wenyewe ndiyo wanakuwa wanahangaika nalo, mwisho wa siku kabisa watakubadilishia baada ya kuona jina walilokupa sio lako” alisema Esma ambaye jina la Yuda lilitokana kwa kuonekana msaliti kwa mawifi zake.NA IMELDA MTEMA,

Esma Khan, ambaye ni Dada wa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, NasibAbdul ‘Diamond’ amesema kuwa, waliompachika jina la Yuda, sasa wanakaribia kumpa jina la Petro.

Akizungumza na AMANI, Esma alisema jina la Yuda hakulipenda, lakini watu wa kwenye mitandao walimpa na anaamini bado siku chache watambadilisha jina hilo.

“Unajua mtu akikupa jina unapokea tu vizuri, alafu wao wenyewe ndiyo wanakuwa wanahangaika nalo, mwisho wa siku kabisa watakubadilishia baada ya kuona jina walilokupa sio lako” alisema Esma ambaye jina la Yuda lilitokana kwa kuonekana msaliti kwa mawifi zake.

NA IMELDA MTEMA,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *