ERB waridhishwa na kasi ya ujenzi wa MV Mwanza,

October 9, 2020

Muonekano wa bodi la meli ya MV Mwanza inayojengwa jijini Mwanza na Mkandarasi GAS Entec kutoka Korea ya Kusini meli hiyo inayotarajiwa kukamilika mwakani itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200, tani 400 za mizigo na magari zaidi ya 20 itakapokamilika.

Muonekano wa sehemu ya chini ya meli ya MV Mwanza inayojengwa jijini Mwanza na Mkandarasi GAS Entec kutoka Korea ya Kusini meli hiyo inayotarajiwa kukamilika mwakani itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200, tani 400 za mizigo na magari zaidi ya 20 itakapokamilika.

Mtaalam wa masuala ya ujenzi wa meli Eng. Beda Patrick akifafanua jambo kwa timu ya wahandisi toka Bodi ya usajili wa wahandisi nchini (ERB), walipokagua ujenzi wa meli hiyo jijini Mwanza.

Msajili wa wahandisi nchini Eng. Patrick Barozi (mwenye fulana nyekundu), akisisitiza jambo kwa wahandisi waliopata fursa katika mradi wa ujenzi wa meli ya MV Mwanza kujifunza kikamilifu ili kupata ujuzi wa kutosha katika ujenzi huo (wa kwanza kushoto kwake), ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Phillis Nyimbi akifuatilia kwa makini.

Msajili wa wahandisi nchini Eng. Patrick Barozi (mwenye fulana nyekundu), akisisitiza jambo kwa wahandisi na wafanyakazi waliopata fursa katika mradi wa ujenzi wa meli ya MV Mwanza kujifunza kikamilifu ili kupata ujuzi wa kutosha katika ujenzi huo (wa kwanza kushoto kwake), ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Phillis Nyimbi akifuatilia kwa makini.
 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *