Drone zazunguka Israel kumwaga bangi, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 5, 2020 at 7:00 am

September 5, 2020

 Drone nchini Israel Jana alhamisi zimetumika kudondosha vifurushi vya bangi bure Kwa mamia ya watu katika Jiji la Tel Aviv.Drone Hizo zinaaminika kuwa ni mali ya kikundi kinachoendesha kampeni ya kuunga mkono uhalalishaji wa matumizi ya bangi cha nchini Israel.,

 

Drone nchini Israel Jana alhamisi zimetumika kudondosha vifurushi vya bangi bure Kwa mamia ya watu katika Jiji la Tel Aviv.

Drone Hizo zinaaminika kuwa ni mali ya kikundi kinachoendesha kampeni ya kuunga mkono uhalalishaji wa matumizi ya bangi cha nchini Israel.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *