Donald Trump Atoka Hospitalini Avua Barakoa….

October 6, 2020

 

Rais Donald Trump ameruhusiwa kutoka Hospital baada ya kupatiwa matibabu ya corona kwa siku tatu, kwa sasa atabaki Ikulu kwa muda na hatoruhusiwa kujichanganya na Watu, baada ya kufika Ikulu Trump amevua Mask huku akionesha ishara ya vidole kwamba yuko fit.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *