Dkt Bashiru Ally Aongea na Wazee wa Zanzibar,

October 6, 2020

Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika siku ya Jana Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. 

Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. 

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *