Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi kwenye mdaharo UVCCM Zanzibar, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 1, 2020 at 1:00 pm

September 1, 2020

 UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM ( UVCCM) kupitia Idara ya Vyuo na vyuo vikuu Zanzibar  wameandaa mdahalo unaowakutanisha vijana wasomi wa chama hicho wenye lengo la kujadili maendeleo na mustakabali wa chama hicho.Mdahalo huo unafanyika leo katika ukumbi wa Dk Ali Mohamed  Shein SUZA Tunguu mjini magharib huku viongozi na wananchama wa chama hicho.Mgeni Rasmi wa mdahalo huo ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho Dk Hussein Ali Mwinyi.,

 UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM ( UVCCM) kupitia Idara ya Vyuo na vyuo vikuu Zanzibar  wameandaa mdahalo unaowakutanisha vijana wasomi wa chama hicho wenye lengo la kujadili maendeleo na mustakabali wa chama hicho.

Mdahalo huo unafanyika leo katika ukumbi wa Dk Ali Mohamed  Shein SUZA Tunguu mjini magharib huku viongozi na wananchama wa chama hicho.

Mgeni Rasmi wa mdahalo huo ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho Dk Hussein Ali Mwinyi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *