Diva atangaza rasmi kuacha kazi Clouds FM, on September 18, 2020 at 6:00 am

September 18, 2020

 Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva atangaza rasmi kuacha kazi ndani ya kituo hicho.Kupitia ukurasa wake wa #Instagram, Diva amesema amefikia uamuzi huo mzito mchana huu kwa kutamka mbele ya Meneja Rasimali Watu (HR) wa Clouds FM.Aidha, Diva amewashukuru Clouds FM na Mkurugenzi wake Joseph Kusaga kwa malezi waliyompatia hadi sasa. Diva hajaeleza wazi sababu ya kuacha kazi kwenye kituo hicho na amesema baadaye atatangaza atakuwa wapi.”Mashabiki wangu wa #AlazaRoho Mambo vipi?! mimi mwenyewe kwa akili zangu binafsi Maamuzi Yangu Binafsi nachukua nafasi Hii kuwaaga. Nitawamiss sana tumekuwa wote kwa Miaka 11. Worth it , Natoa Shukran zangu kwa Uongozi wa Clouds FM kwa kunilea Im forever thankful, shukran kwa Joseph Kusaga na Familia Yake for making My Journey, Ntakushukuruni sana. Positively nimeamua Mwenyewe Kuacha Kazi Clouds FM leo mchana huu kwa mdomo wangu mbele ya HR na shahidi wake nilipotamka maneno hayo ya Maamuzi ambayo toka natoka nyumbani nilisema ntafanya sababu ya vitu vingi tu ambavyo sitasema … Nashukuru sana sana sana … Iv been raised to be honest and speak up no matter what, sababu ya Kusimamia Ukweli wangu nimeamua fanya Maamuzi ambayo nahisi ni sahihi kwangu … By saying That Life has a lot to offer Mungu Yu Mwema … tutajuzana Zaidi my next destination, love You all 💕 “,

 Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva atangaza rasmi kuacha kazi ndani ya kituo hicho.

Kupitia ukurasa wake wa #Instagram, Diva amesema amefikia uamuzi huo mzito mchana huu kwa kutamka mbele ya Meneja Rasimali Watu (HR) wa Clouds FM.

Aidha, Diva amewashukuru Clouds FM na Mkurugenzi wake Joseph Kusaga kwa malezi waliyompatia hadi sasa. Diva hajaeleza wazi sababu ya kuacha kazi kwenye kituo hicho na amesema baadaye atatangaza atakuwa wapi.

“Mashabiki wangu wa #AlazaRoho Mambo vipi?! mimi mwenyewe kwa akili zangu binafsi Maamuzi Yangu Binafsi nachukua nafasi Hii kuwaaga. Nitawamiss sana tumekuwa wote kwa Miaka 11. Worth it , Natoa Shukran zangu kwa Uongozi wa Clouds FM kwa kunilea Im forever thankful, shukran kwa Joseph Kusaga na Familia Yake for making My Journey, Ntakushukuruni sana. Positively nimeamua Mwenyewe Kuacha Kazi Clouds FM leo mchana huu kwa mdomo wangu mbele ya HR na shahidi wake nilipotamka maneno hayo ya Maamuzi ambayo toka natoka nyumbani nilisema ntafanya sababu ya vitu vingi tu ambavyo sitasema … Nashukuru sana sana sana … Iv been raised to be honest and speak up no matter what, sababu ya Kusimamia Ukweli wangu nimeamua fanya Maamuzi ambayo nahisi ni sahihi kwangu … By saying That Life has a lot to offer Mungu Yu Mwema … tutajuzana Zaidi my next destination, love You all 💕 “

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *