Ditopile: Kongwa imepiga hatua kubwa kwenye Umeme na Miundombinu ya Barabara kwa sababu ya Magufuli, on September 19, 2020 at 7:00 am

September 19, 2020

Katika kuendelea kuhakikisha Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli anapata kura nyingi katika uchaguzi mkuu Oktoba 28 mwaka huu, Mgombea Ubunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekutana na wanawake wa Wilaya ya Kongwa na kuwaomba kumpatia kura za kishindo Dk Magufuli.” Niwaombe ndugu zangu wa Kongwa twendeni kwa wingi Oktoba 28 tukampigie kura za kishindo Dk Magufuli kwa sababu ndani ya miaka mitano hii ameifanyia mambo makubwa Kongwa ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Afya Mlali, ujenzi wa barabara za lami Kilomita 12 pamoja na ujenzi wa taa za barabarani ambazo zitaongeza hadhi ya mji wa Kongwa.Niwaombe ndugu zangu wa Kongwa twendeni kwa wingi Oktoba 28 tukampigie kura za kishindo Dk Magufuli kwa sababu ndani ya miaka mitano hii ameifanyia mambo makubwa Kongwa ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Afya Mlali, ujenzi wa barabara za lami Kilomita 12 pamoja na ujenzi wa taa za barabarani ambazo zitaongeza hadhi ya mji wa Kongwa,” Amesema, Mariam Ditopile.Amesema Kongwa imepiga hatua kubwa chini ya serikali ya CCM ambapo umeme umesogea katika vijiji vingi ikiwemo Kata ya Iyumbwi ambayo haikua na umeme lakini leo inawaka taa yote na na sasa umeme pia unasambazwa kwenye Kata ya Mbagilwa na maeneo mengine, na kuwaomba akina hao kwenda  kamchagua Magufuli ili azidi kuleta maendeleo kwenye Wilaya hiyo.” Najua Spika Ndugai amepita bila kupingwa kwenye nafasi ya ubunge hapa Kongwa, sasa mna kazi ya kumpitisha Diwani wenu kwenye Kata hii ambaye ni Mzee White, kupitia huyu ni rahisi maendeleo kukimbia kwa kasi kwa sababu atashirikiana na Mbunge na Rais wanaotokana wote na CCM,” Amesema Mariam Ditopile.,

Katika kuendelea kuhakikisha Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli anapata kura nyingi katika uchaguzi mkuu Oktoba 28 mwaka huu, Mgombea Ubunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amekutana na wanawake wa Wilaya ya Kongwa na kuwaomba kumpatia kura za kishindo Dk Magufuli.

” Niwaombe ndugu zangu wa Kongwa twendeni kwa wingi Oktoba 28 tukampigie kura za kishindo Dk Magufuli kwa sababu ndani ya miaka mitano hii ameifanyia mambo makubwa Kongwa ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Afya Mlali, ujenzi wa barabara za lami Kilomita 12 pamoja na ujenzi wa taa za barabarani ambazo zitaongeza hadhi ya mji wa Kongwa.

Niwaombe ndugu zangu wa Kongwa twendeni kwa wingi Oktoba 28 tukampigie kura za kishindo Dk Magufuli kwa sababu ndani ya miaka mitano hii ameifanyia mambo makubwa Kongwa ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Afya Mlali, ujenzi wa barabara za lami Kilomita 12 pamoja na ujenzi wa taa za barabarani ambazo zitaongeza hadhi ya mji wa Kongwa,” Amesema, Mariam Ditopile.

Amesema Kongwa imepiga hatua kubwa chini ya serikali ya CCM ambapo umeme umesogea katika vijiji vingi ikiwemo Kata ya Iyumbwi ambayo haikua na umeme lakini leo inawaka taa yote na na sasa umeme pia unasambazwa kwenye Kata ya Mbagilwa na maeneo mengine, na kuwaomba akina hao kwenda  kamchagua Magufuli ili azidi kuleta maendeleo kwenye Wilaya hiyo.

” Najua Spika Ndugai amepita bila kupingwa kwenye nafasi ya ubunge hapa Kongwa, sasa mna kazi ya kumpitisha Diwani wenu kwenye Kata hii ambaye ni Mzee White, kupitia huyu ni rahisi maendeleo kukimbia kwa kasi kwa sababu atashirikiana na Mbunge na Rais wanaotokana wote na CCM,” Amesema Mariam Ditopile.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *