Ditopile azindua kampeni za udiwani Kibaigwa, “Magufuli kawarahisishia kazi Bodaboda, on September 20, 2020 at 1:00 pm

September 20, 2020

 Kampeni za Udiwani Kata ya Kibaigwa mkoani Dodoma CCM, zimezinduliwa na Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa huo, Mariam Ditopile ambaye amemuombea kura Mgombea Urais wa chama hiko, Dk John Magufuli pamoja na mgombea udiwani, Mrisho Chande.” Tupo mbele yenu kuomba ridhaa ya kuwatumikia kwa miaka mingine mitano kwa sababu tuna uhakika serikali yetu imefanya mambo makubwa kwenu wananchi na, ndio maana tunasisitiza kwa kusema tumeahidi, tumetekeleza kwa kishindo, naombeni Oktoba 28 mkampigie kura nyingi Dk John Magufuli ili awe Rais wetu pamoja na Mrisho Chande awe Diwani kwa pamoja washirikiane kuleta maendeleo hapa Kibaigwa.” Kibaigwa ni mji wa kibiashara na kwa kutambua jinsi gani wafanyabiashara wameangaika kwa muda mrefu Rais Magufuli alileta vitambulisho vya wajasiriamali kwa bei ya Sh 20,000 tu mwaka mzima vilivyowawezesha kufanya biashara zenu bila kubughudhiwa tena mahala popote, ” Ditopile.Kabla ya hapo Ditopile alikutana na Wanawake wa UWT Kata ya Chang’ombe jijini Dodoma na kuwataka kuunganisha nguvu zao katika kutafuta kura za CCM katika ngazi ya Urais, Ubunge na madiwani.,

 Kampeni za Udiwani Kata ya Kibaigwa mkoani Dodoma CCM, zimezinduliwa na Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa huo, Mariam Ditopile ambaye amemuombea kura Mgombea Urais wa chama hiko, Dk John Magufuli pamoja na mgombea udiwani, Mrisho Chande.

” Tupo mbele yenu kuomba ridhaa ya kuwatumikia kwa miaka mingine mitano kwa sababu tuna uhakika serikali yetu imefanya mambo makubwa kwenu wananchi na, ndio maana tunasisitiza kwa kusema tumeahidi, tumetekeleza kwa kishindo, naombeni Oktoba 28 mkampigie kura nyingi Dk John Magufuli ili awe Rais wetu pamoja na Mrisho Chande awe Diwani kwa pamoja washirikiane kuleta maendeleo hapa Kibaigwa.

” Kibaigwa ni mji wa kibiashara na kwa kutambua jinsi gani wafanyabiashara wameangaika kwa muda mrefu Rais Magufuli alileta vitambulisho vya wajasiriamali kwa bei ya Sh 20,000 tu mwaka mzima vilivyowawezesha kufanya biashara zenu bila kubughudhiwa tena mahala popote, ” Ditopile.

Kabla ya hapo Ditopile alikutana na Wanawake wa UWT Kata ya Chang’ombe jijini Dodoma na kuwataka kuunganisha nguvu zao katika kutafuta kura za CCM katika ngazi ya Urais, Ubunge na madiwani.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *