Diana Rigg wa ‘Game of Thrones’ afariki dunia, on September 10, 2020 at 6:00 pm

September 10, 2020

Msanii maarufu wa filamu nchini Uingereza, ikiwemo series ya “Game of Thrones” Diana Rigg amefariki dunia siku ya leo akiwa na umri wa miaka 82 kwa ugonjwa wa Saratani.Diana Dame Rigg 82 alipata umaarufu kupitia filamu zake Bond girl, On her Majesty, Secret na katika series ya Game of Thrones ambapo aliigiza kama Olenna Tyrell.Kwa mujibu wa msemaji wake amesema kifo chake kimemkuta nyumbani na familia yake asubuhi ya leo,  ambapo hakuamka mpaka walipofikia hatua ya kumuamsha na kugundua kwamba amefariki.Aidha Msemaji huyo ameviomba vyombo vya habari kumpatia nafasi ya kutozungumza chochote muda huu kutokana na mambo ya kifamilia hasa katika kipindi hiki kigumu.Diana Rigg alizaliwa Julai 20, 1938 katika Mji wa Doncaster, Kusini mwa Yorkshire nchini Uingereza.,

Msanii maarufu wa filamu nchini Uingereza, ikiwemo series ya “Game of Thrones” Diana Rigg amefariki dunia siku ya leo akiwa na umri wa miaka 82 kwa ugonjwa wa Saratani.

Diana Dame Rigg 82 alipata umaarufu kupitia filamu zake Bond girl, On her Majesty, Secret na katika series ya Game of Thrones ambapo aliigiza kama Olenna Tyrell.

Kwa mujibu wa msemaji wake amesema kifo chake kimemkuta nyumbani na familia yake asubuhi ya leo,  ambapo hakuamka mpaka walipofikia hatua ya kumuamsha na kugundua kwamba amefariki.

Aidha Msemaji huyo ameviomba vyombo vya habari kumpatia nafasi ya kutozungumza chochote muda huu kutokana na mambo ya kifamilia hasa katika kipindi hiki kigumu.

Diana Rigg alizaliwa Julai 20, 1938 katika Mji wa Doncaster, Kusini mwa Yorkshire nchini Uingereza.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *