Diamond na Mimi Mars Mambo ni Moto…Diamond Afunguka Hisia zake

September 18, 2020

Staa wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake @mimi_mvrs11 kupitia ukurasa wa InstagramKupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya Mimi Mars akiwa anaimba wimbo mpya wa @officialzuchu na kuandika “Mimi nakapendaga sana haka katoto…. Sema sijui hata timing naikoseaga wapi mwana wa Dangote.. Dooh”Ikumbukwe kuwa Diamond Platnumz kwa sasa yupo Single baada ya kubwagana na baby mama wake @tanashadonna  ,

Staa wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake @mimi_mvrs11 kupitia ukurasa wa Instagram

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya Mimi Mars akiwa anaimba wimbo mpya wa @officialzuchu na kuandika “Mimi nakapendaga sana haka katoto…. Sema sijui hata timing naikoseaga wapi mwana wa Dangote.. Dooh”

Ikumbukwe kuwa Diamond Platnumz kwa sasa yupo Single baada ya kubwagana na baby mama wake @tanashadonna  

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *