Diamond, Kiba Walivyomaliza Ubishi Uzinduzi Wa Kampeni Za CCM, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 30, 2020

Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.Katika shoo hiyo iliyooneka kama vile mpambano wa kumaliza ubishi alianza kupanda jukwaani Ali Kiba na Kisha alimalizia Diamond Platniumz ambao kila mmoja alionesha uwezo wake.Wawili hao kila mmoja alivyopanda jukwaani umati uliofirika uwanjani hapo ulilipuka kwa mayowe ya kushangilia.Kelele za Kiiiba…Kiiiba… Kiiiba na zile za Siiimba…Siiimba Siiimba ndizo zilizotawala uwanjani hapo wakati wawili wakipandishwa jukwaani kila mmoja kwa wakati wake.,

Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.

Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond na Ali Kiba ambao wamekuwa wakiwagawa mashabiki kama zilivyotimu za Simba na Yanga kila mmoja akisema fulani anatisha leo walimaliza ubishi baada ya kupanda jukwaa moja.

Katika shoo hiyo iliyooneka kama vile mpambano wa kumaliza ubishi alianza kupanda jukwaani Ali Kiba na Kisha alimalizia Diamond Platniumz ambao kila mmoja alionesha uwezo wake.

Wawili hao kila mmoja alivyopanda jukwaani umati uliofirika uwanjani hapo ulilipuka kwa mayowe ya kushangilia.

Kelele za Kiiiba…Kiiiba… Kiiiba na zile za Siiimba…Siiimba Siiimba ndizo zilizotawala uwanjani hapo wakati wawili wakipandishwa jukwaani kila mmoja kwa wakati wake.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *