‘Diamond anavyomsukuma Zuchu sio kawaida.’ Adai meneja Jamal

September 18, 2020

Meneja wa msanii na mtangazaji Tanasha Donna,Jama Gadaffi akiwa kwenye mahojiano alidai kuwa msanii wa bongo Diamon anatumia nguvu nyingi kwa msanii Zuchu ili kumhujumu Tanasha ambaye ni mama wa mtoto wake. Pia Jamal alidai kuwa ni jambo ambalo anahisi si njema na la kufanya.“Mondi anatumia nguvu nyingi sana kwa Zuchu, ili amfunike mzazi mwenziwe…unaona live tu Diamond anavyo msukuma Zuchu sio kawaida tu ni sababu tu ya Tanasha, kutaka kuwalingnisha hao wawili. Lakini mimi naona kibiashara ni sawa, lakini mwishoni mwa siku  ni mzazi mwenzake, asingempa wakati mgumu.” Alisema Jamal.Jamal alisema kuwa anapenda kazi ya msanii Zuchu lakini mtindo wake wa muziki ameutoa na kuiga kwa Tanasha.“Kwanza mimi Zuchu namkubali sana, yuko vizuri Zuchu, napenda Kazi yake, ila kitu ambacho nilipost jana ni kwamba, Kuna nyimbo ya Tanasha ambayo iliweza kuvuja ambayo inaitwa ride, amemshirikisha Khaligraph Jones. So kuna miondoko flani hivi kaitumia Zuchu mimi nikahisi mbona kamuiga mwenzake.Katika Wasafi watu ambao niko karibu naona ni kama Romy Jons, Richardo Momo. Na hata kumcheki mtu kama Richardo Momo si hoja, lakini mimi nimeacha tu ipotelee kwenye mitandao, because it’s not that big. Mimi ni style tu mimi nilikuwa naongelea. Style flani hivi Tee anatumianga. So hiyo ati ni kitu kikubwa ati tutapigia hadi management.” Jamal Alizungumza.Pia alidai kuwa Tanasha hajawahi lalamika kwa jambo lolote kuhusu Diamond,“Hajawahi kulalamika hata siku moja, lakini ni vitu mimi naona sio lazima hata kuambiwa, jinsi kunavyo kwenda, sio lazima eti yeye aniambie kuko hivi.”,

Meneja wa msanii na mtangazaji Tanasha Donna,Jama Gadaffi akiwa kwenye mahojiano alidai kuwa msanii wa bongo Diamon anatumia nguvu nyingi kwa msanii Zuchu ili kumhujumu Tanasha ambaye ni mama wa mtoto wake.

 Pia Jamal alidai kuwa ni jambo ambalo anahisi si njema na la kufanya.

“Mondi anatumia nguvu nyingi sana kwa Zuchu, ili amfunike mzazi mwenziwe…unaona live tu Diamond anavyo msukuma Zuchu sio kawaida tu ni sababu tu ya Tanasha, kutaka kuwalingnisha hao wawili. Lakini mimi naona kibiashara ni sawa, lakini mwishoni mwa siku  ni mzazi mwenzake, asingempa wakati mgumu.” Alisema Jamal.

Jamal alisema kuwa anapenda kazi ya msanii Zuchu lakini mtindo wake wa muziki ameutoa na kuiga kwa Tanasha.

“Kwanza mimi Zuchu namkubali sana, yuko vizuri Zuchu, napenda Kazi yake, ila kitu ambacho nilipost jana ni kwamba, Kuna nyimbo ya Tanasha ambayo iliweza kuvuja ambayo inaitwa ride, amemshirikisha Khaligraph Jones. So kuna miondoko flani hivi kaitumia Zuchu mimi nikahisi mbona kamuiga mwenzake.

Katika Wasafi watu ambao niko karibu naona ni kama Romy Jons, Richardo Momo. Na hata kumcheki mtu kama Richardo Momo si hoja, lakini mimi nimeacha tu ipotelee kwenye mitandao, because it’s not that big. Mimi ni style tu mimi nilikuwa naongelea. Style flani hivi Tee anatumianga. So hiyo ati ni kitu kikubwa ati tutapigia hadi management.” Jamal Alizungumza.

Pia alidai kuwa Tanasha hajawahi lalamika kwa jambo lolote kuhusu Diamond,

“Hajawahi kulalamika hata siku moja, lakini ni vitu mimi naona sio lazima hata kuambiwa, jinsi kunavyo kwenda, sio lazima eti yeye aniambie kuko hivi.”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *