Davido adai kufanyiwa figisu na Wizkid na Burna boy, ili asifanye vizuri kimuziki ndani na nje ya Nigeria

October 5, 2020

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, @davidoofficial , amedai kuwa Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram wameungana ili kutaka kumpoteza kwenye ramani ya muziki nchini humo na nje ya Nigeria, Jambo ambalo amedai kuwa hawatoweza kufanikiwa.

Akizungumza katika kituo cha radio cha @BounceRadioLive cha nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi .

Davido alisikika akisema “Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid, Kuna mtu aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na ile picha. Nasikia wameungana ili kushindana na mimi Lakini hawatafanikiwa kwa hilo “.

Kama kawaida  @wizkidayo na @burnaboygram hawajajibu chochote kile na sidhani kama wanaweza kumjibu kwani wakijibu tu, hiyo itakuwa ni attention kubwa kwa Davido na usishangae akaachia na ngoma mpya.

 

View this post on Instagram

#Bongo5Updates: DAVIDO ADAI @WIZKID NA @BURNABOYGRAM WAMEUNGANA KUMPOTEZA KWENYE GEMU NDANI NA NJE YA NIGERIA AKIONGEZA WANAMFANYIA FIGISU FIGISU SANA. Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, @davidoofficial , amedai kuwa Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram wameungana ili kutaka kumpoteza kwenye ramani ya muziki nchini humo na nje ya Nigeria, Jambo ambalo amedai kuwa hawatoweza kufanikiwa. Akizungumza katika kituo cha radio cha @BounceRadioLive cha nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi . Davido alisikika akisema “Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid, Kuna mtu aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na ile picha. Nasikia wameungana ili kushindana na mimi Lakini hawatafanikiwa kwa hilo “. Kama kawaida  @wizkidayo na @burnaboygram hawajajibu chochote kile na sidhani kama wanaweza kumjibu kwani wakijibu tu, hiyo itakuwa ni attention kubwa kwa Davido na usishangae akaachia na ngoma mpya. 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *