Corona imerudisha maendeleo ya dunia nyuma miaka zaidi ya 20, on September 15, 2020 at 1:00 pm

September 15, 2020

Ripoti ya utafiti wa wakfu wa Bill & Melinda Gates imebainisha kuwa kusambaa vya virusi vya corona kote duniani kumerudisha nyuma maendeleo ya dunia kwa miaka zaidi ya 20.Kulingana na utafiti huo, mamilioni ya watu duniani wamezidi kuishi zaidi katika maisha yanayotofautiana, magonjwa na umasikini.Wakfu huo wa Bill & Melinda Gates unasema kuwa hali hiyo inaathiri malengo mengi ya Umoja wa mataifa yanayolenga kuleta maendeleo duniani.Akizungumza na BBC, Bill Gates alisema kuwa chanjo ya Covid-19 iliyotengenezwa na kufikia kiwango stahiki huenda ikapatikana mwaka ujao wa 2021.,

Ripoti ya utafiti wa wakfu wa Bill & Melinda Gates imebainisha kuwa kusambaa vya virusi vya corona kote duniani kumerudisha nyuma maendeleo ya dunia kwa miaka zaidi ya 20.

Kulingana na utafiti huo, mamilioni ya watu duniani wamezidi kuishi zaidi katika maisha yanayotofautiana, magonjwa na umasikini.

Wakfu huo wa Bill & Melinda Gates unasema kuwa hali hiyo inaathiri malengo mengi ya Umoja wa mataifa yanayolenga kuleta maendeleo duniani.

Akizungumza na BBC, Bill Gates alisema kuwa chanjo ya Covid-19 iliyotengenezwa na kufikia kiwango stahiki huenda ikapatikana mwaka ujao wa 2021.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *