CHUO CHA TUMAINI JIPYA IRINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO,

October 10, 2020

  

Mkuu wa chuo cha afya na sayansi chirikishi tumaini jipya kilichopo  mafinga mjini mkoani iringa  chenye usajili wa baraza la taifa elimu ya ufundi nacte no hs/ 144 anawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka  wa masaomo 2020/2021 kwa  kozi  zifuatazo

  • Ordinary diploma in clinical medicine(  clinical officer) miaka mitatu technician certificate in clinical medicine(clinical assisstance)miaka miwili.

          Mwombaji awe ufaulu wa alama ( D ) kwa masomo ya fizikia chemia na biologia

  • Ordinary diploma in clinical medicine upgrading  ( mwaka moja) sifa awe amemaliza na kufaulu technician certificate in clinical medicine.

 

 Pia chuo kina nafasi za kuhamia mwaka wa masomo 2020/2021, kwa wanafunzi wa  mwaka wa pili na mwaka wa tatu

Maombi hufanyika chuoni kwa idhini ya nacte

kwa mawasiliano fika chuoni tumaini jipya au piga simu 0756916610 / 0764986544 / 0762251717

Chuo kina mazingiza tulivu na miundo mbinu nzuri kwa kwanafunzi kujifunzia, ada ni  1,700,000/=   milioni ,moja na laki saba.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *