Chris Brown Apata PISI Kali Mpya…Unaambiwa Rihanna Akasubiri Kule

October 5, 2020

Kuwa na Pisi kali kama Pisi kali, kwa Chris Brown ni kanuni ambayo amejiwekea kwenye maisha yake. Breezy anahusishwa kuwa penzini na binti huyu aitwaye #GinaHuynh ambaye ni raia wa Vietnam.

Wawili hao wameonekana pamoja wakiwa wameshikana mikono kwa ukaribu mjini Los Angeles, location wakati Chris Brown akifanya video ya wimbo “City Girls” akiwa na Young Thug.

Awali Gina aliwahi kuhusishwa kutoka kimapenzi na mkongwe Diddy ambapo maua ya penzi lao yalitapakaa sana kwenye mtandao wa instagram mwaka jana.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *