Chama cha ACT Wazalendo chazindua ilani yake, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 31, 2020 at 1:00 pm

August 31, 2020

Chama cha upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania kimezindua ilani yake leo Jumatatu kinapojiandaa kuanza kampeini ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Kiongozi wa Chama hicho, Zitto Kabwe amemkabidhi ilani hiyo Mgombea Urais wa chama hicho Benard Membe pamoja na Mgombea Mwenza wake Omar Fakih Hamad.Chama Tawala cha CCM kilizindua kampeni yake mjini Dodoma siku ya Jumamosi huku Chadema nayo ikifanya uzinduzi wa kampeni yake Ijumaa wiki iliyopita.Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utafanyika Oktoba 28, 2020.,

Chama cha upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania kimezindua ilani yake leo Jumatatu kinapojiandaa kuanza kampeini ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kiongozi wa Chama hicho, Zitto Kabwe amemkabidhi ilani hiyo Mgombea Urais wa chama hicho Benard Membe pamoja na Mgombea Mwenza wake Omar Fakih Hamad.

Chama Tawala cha CCM kilizindua kampeni yake mjini Dodoma siku ya Jumamosi huku Chadema nayo ikifanya uzinduzi wa kampeni yake Ijumaa wiki iliyopita.

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utafanyika Oktoba 28, 2020.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *