CCM itaendelea kulinda Mapinduzi matukufu ya Zanzibar na muungano wa Tanzania- Dk. Bashiru, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 1:00 pm

August 29, 2020

 Dodoma “Miaka mitano ijayo, CCM itaendeleza kuhimiza wananchi kuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kufanya kazi kwa uadilifu, bidii na maarifa kama msingi imara wa maendeleo” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally.”CCM inatambua kuwa nchi yetu ina watu wenye uwezo na rasilimali za kutosha kama vile ardhi, madini, gesi asilia,misitu, wanyama, malikale, bahari, maziwa na mito” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally”CCM itaendelea kulinda na kuimarisha umoja, mshikamano, amani, utulivu, ulinzi na usalama, kulinda, kuimarisha, kudumisha uhuru, Mapinduzi matukufu ya Zanzibar na muungano wa Tanzania” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally.,

 

Dodoma “Miaka mitano ijayo, CCM itaendeleza kuhimiza wananchi kuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kufanya kazi kwa uadilifu, bidii na maarifa kama msingi imara wa maendeleo” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally.

“CCM inatambua kuwa nchi yetu ina watu wenye uwezo na rasilimali za kutosha kama vile ardhi, madini, gesi asilia,misitu, wanyama, malikale, bahari, maziwa na mito” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally

“CCM itaendelea kulinda na kuimarisha umoja, mshikamano, amani, utulivu, ulinzi na usalama, kulinda, kuimarisha, kudumisha uhuru, Mapinduzi matukufu ya Zanzibar na muungano wa Tanzania” Katibu Mkuu CCM, Dk. Bashiru Ally.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *