Cardi B afunguka sababu ya kumsamehe Offset

October 16, 2020

 Ikiwa ni mwezi Mmoja tu tangu aombe talaka , Rapa Cardi b na Mume wake Offsetyrn wameonesha kurudisha Mapenzi yao upya , baada ya kusheherekea Birthday ya Card B huko Las Vegas Wiki iliyopita .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram , Rapa Card B aliamua kuingia LIVE na kuwaelezea mashabiki zake ni sababu zipi zimemfanya aamue kurudiana na Offset ambae amezaa nae mtoto Mmoja .

” Nilianza kummiss sana .. ni ngumu sana kukaa bila kuongea na rafiki yako /Mtu wako umpendae na Pia siwezi kuishi bila kufanya mapenzi ” – ameeleza Card B

Card B Pia ameeleza asingeweza kukataa zawadi ya Gari aina ya Rolls Royce ambayo Mume wake huyo alimzawadia Siku ya Birthday, Licha ya wawili hao kutokua na maelewano Kipindi hicho .

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *