Bunge la Peru lapiga kura kuanza mchakato wa kumshtaki rais, on September 12, 2020 at 1:00 pm

September 12, 2020

Bunge la Peru hapo jana limepiga kura ya kuanza kwa shauri la kutokuwa na imani na Rais Martin Vizcarra, ambalo linaweza kumsababishia ang’olewe madarakani kutokana na kile kinachiotajwa “kutokuwa na maadili.” Kwa mujibu wa gazeti la Comercio, katika mchakato wa kupiga kura ya kutoa ridhaa ya kuanza mchakato wa mashtaka wabunge 65 walipiga kura ya ndio na 36 hapana huku 24 wakiwa hawakushiriki. Vizcara anatuhumiwa kuwataka washauri wake kuongopa katika uchunguzi uliokuwa ukiendeshwa na bunge. Rais mwenyewe ameiita hatua hiyo kuwa ni njama dhidi ya demokrasia. Uchunguzi huo ulikuwa ukihusu mkataba tata wa mwimbaji wenye thamani ya dola milioni 50,000.,

Bunge la Peru hapo jana limepiga kura ya kuanza kwa shauri la kutokuwa na imani na Rais Martin Vizcarra, ambalo linaweza kumsababishia ang’olewe madarakani kutokana na kile kinachiotajwa “kutokuwa na maadili.” 

Kwa mujibu wa gazeti la Comercio, katika mchakato wa kupiga kura ya kutoa ridhaa ya kuanza mchakato wa mashtaka wabunge 65 walipiga kura ya ndio na 36 hapana huku 24 wakiwa hawakushiriki. 

Vizcara anatuhumiwa kuwataka washauri wake kuongopa katika uchunguzi uliokuwa ukiendeshwa na bunge. Rais mwenyewe ameiita hatua hiyo kuwa ni njama dhidi ya demokrasia. Uchunguzi huo ulikuwa ukihusu mkataba tata wa mwimbaji wenye thamani ya dola milioni 50,000.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *